joke20 Apr 2019 11:31
TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MBEYA, MAKAMBAKO NA SONGEA
Aprili 20, 2019
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mkoa wa Mbeya, Wilaya za Songea na Makambako kwa katizo la umeme lililotokea leo Aprili 20, 2019 majira ya saa 03:57 asubuhi.